Shirika la Posta Duniani

Shirika la Posta Duniani (kwa Kiingereza: Universal Postal Union), lililoanzishwa na Mkataba wa Bern mwaka 1874, ni miongoni mwa mawakala wa Umoja wa Mataifa unaohusika na sera za posta kati ya mataifa wanachama na dunia nzima.

George Barlosius,muanzilishi wa shirika la posta

Shirika hilo linajumuisha bodi mbalimbali kama mkutano, Baraza la Utawala, Baraza la Kazi la Posta, na Ofisi za Kimataifa.[1]

Marejeo hariri

  1. The UPU. Universal Postal Union website. Jalada kutoka ya awali juu ya 2019-03-22. Iliwekwa mnamo 12 December 2010.