Shishapangma ni mlima mrefu, wenye kimo cha m 8,012 juu ya usawa wa bahari. Ni sehemu ya safu ya milima ya Himalaya.

Mlima Shishapangma

Kilele chake kipo katika nchi ya Tibet (Uchina).

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Shishapangma kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.