Shuji Nakamura (amezaliwa 22 Mei, 1954) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Japani; baadaye akakata uraia wa Marekani. Hasa amechunguza dutu za nusu kipitishi na kubuni diodi ya kutoa nuru. Mwaka wa 2014, pamoja na Hiroshi Amano na Isamu Akasaki, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Shuji Nakamura
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shuji Nakamura kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.