Kuhusu milima nchini Hispania angalia hapa Sierra Nevada, Hispania

Mlima Sierra Nevada


Sierra Nevada inapatikana Marekani kwa urefu wa kilomita 640 katika majimbo ya California na Nevada.

Kilele cha juu ni mlima Whitney (mita 4,421 juu ya usawa wa bahari).

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Sierra Nevada kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.