Sitini (kutoka Kiarabu ستون) ni namba inayoandikwa 60 kwa tarakimu za kawaida na LX kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 59 na kutangulia 61.

Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 2 x 3 x 5.

Matumizi hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sitini kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.