Stefano wa Hungaria

Mfalme Stefano I wa Hungaria (kwa Kihungaria Szent István; kwa Kilatini Sanctus Stephanus; Esztergom, Hungaria, 967 au 969 au 97515 Agosti 1038, Esztergom[1][2][3] au Székesfehérvár, kabla hajabatizwa aliitwa Vajk na kuwa Mtawala mkuu wa Wahungaria (9971000) halafu akawa mfalme wa kwanza wa Hungaria (1000–1038).

Mt. Stefano wa Hungaria.

Alieneza sana ufalme wake pamoja na Kanisa Katoliki.

Papa Gregori VII alimtangaza mtakatifu pamoja na mwanae, Emeriko wa Hungaria na Jeradi Sagredo tarehe 20 Agosti 1083.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 16 Agosti[4].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. "István halála". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-02-12. Iliwekwa mnamo 2012-09-08. 
  2. Esztergom.hu
  3. Hankó Ildikó: Királyaink Tömegsírban
  4. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.