Stella Martin Manyanya
Stella Martin Manyanya (amezaliwa tarehe 4 Agosti 1962) ni mbunge wa viti maalumu katika bunge la taifa nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.
Tazama pia hariri
Marejeo hariri
- ↑ ["Mengi kuhusu Stella Martin Manyanya". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-20. Iliwekwa mnamo 2011-11-04. Mengi kuhusu Stella Martin Manyanya]
Viungo vya nje hariri
- Tovuti ya Bunge la Tanzania
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |