Su Tungpo/Su Shi (kwa Kichina 蘇軾, 8 Januari 1036- 24 Agosti1101) alikuwa mwandishi na mwanasiasa nchini China wakati wa Nasaba ya Song.

Su Shi.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Su Shi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.