Swithun Wells (Otterbourne, Hampshire, Uingereza, 1536 hivi – London, 10 Desemba 1591) alikuwa Mkristo wa Kanisa Katoliki ambaye aliuawa kwa kunyongwa kwa kuficha mapadri waliofanya utume nchini kinyume cha sheria.

Sanamu ya Mt. Swithun.

Papa Paulo VI tarehe 25 Oktoba 1970 alimtangaza kuwa mtakatifu mfiadini pamoja na wenzake 39.

Sikukuu yake ni tarehe ya kifodini chake[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.