Uwanja wa michezo wa Türk Telekom

(Elekezwa kutoka Türk Telekom Arena)

Uwanja wa michezo wa Türk Telekom Arena ni uwanja wa mpira wa miguu kutoka Şişli mwa mji wa Istanbul, Uturuki. Kwakuwa uwanja huo huwa na kawaida ya Uturuki Ligi kuu za mabingwa, ukapelekea kuitwa jina la Aslantepe. Katika uwanja wa Türk Telekom kuna timu mbili za mkoa huwa zinachezea katika uwanja huo. Moja kati ya timu hizo ni Galatasaray na Uturuki tangu msimu wa mwaka 2010/2011 wanachezea katika uwanja wao wa nyumbani. Uwanja una viti vipatavyo 52.652 Wakati Istanbul la mwaka 2011 lililochezewa nchini Uturuki, uwanja wa Allianz pia ulitumiwa. Inasemekana kuwa, uwanja huo uligharimu takriban Euro milioni 160 .

Uwanja wa mpira wa miguu Türk Telekom Arena

Picha mbalimbali za uwanja wa Türk Telekom Arena hariri

  • Picha zinazoonyesha baadhi ya maeneo ya uwanja Türk Telekom Arena: