Taifa Stars

Timu ya Taifa ya Soka

Timu ya taifa ya Tanzania chini ya chama cha soka cha Tanzania TFF (Tanzania Football Federation) inaiwakilisha Tanzania katika soka ya kimataifa.

Tanzania
Shirt badge/Association crest
Nickname(s)Taifa Stars
ShirikaTanzania Football Federation
ShirikishoCAF (Africa)
Kocha mkuuAdel Amrouche
KapteniMbwana Samatta
Most capsMrisho Ngasa (100)
Top scorerMrisho Ngasa (25)
Home stadiumBenjamin Mkapa Stadium
msimbo ya FIFATAN
cheo ya FIFAKigezo:FIFA World Rankings
Highest FIFA ranking65 (February 1995)
Lowest FIFA ranking175 (October–November 2005)
Elo rankingKigezo:World Football Elo Ratings
Highest Elo ranking75 (11 November 1979)
Lowest Elo ranking168 (19 December 2004)
Home colours
Away colours
First international
 Uganda 7–0 Tanganyika Tanganyika (nchi)
(Uganda; 1945)
Biggest win
 Tanzania 7–0 Somalia 
(Jinja, Uganda; December 1, 1995)
 Tanzania 7–0 Somalia 
(Kampala, Uganda; December 1, 2012)
Biggest defeat
Kigezo:Flagu 0–9 Kenya 
(Tanganyika; 1956)
Africa Cup of Nations
Appearances2 (First in 1980)
Best resultGroup stage (1980 2019 and 2023 Africa Cup of Nations

Uwanja wa taifa wa Tanzania unafahamika kwa jina la Benjamin Mkapa National Stadium uliopo jijini Dar-es-Salaam na Kocha mkuu kwa sasa ni Adel Amrouche, mwenye asili ya Algeria.

Katika historia, Tanzania haijawahi kufuzu fainali za kombe la dunia. Kabla ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar, timu hiyo ilifahamika kama Timu ya taifa ya Tanganyika.

Kwa upande wa Zanzibar, inajulikana kama mwanachama wa kujitegemea wa CAF lakini haiwezi kushiriki katika mashindano ya Afrika (Africa Cup of Nations) wala mashindano ya kombe la dunia chini ya FIFA.

Historia

Mnamo Machi 24 2019, Tanzania ilifanikiwa kuwashinda Uganda ambao ndio wapinzani wao wakuu kutokea Afrika mashariki kwa jumla ya magoli 3-0, ushindi huo uliwapeleka katika fainali za AFCON (2019 Africa Cup of Nations) hii ikiwa ni kwara ya kwanza ndani ya miaka 39, hatua hiyo ilipelekea raisi wa Tanzania mhe. John Magufuli kuizawadia timu nzima viwanja kama hatua ya kuwatia morali Zaidi, fainali hizi zilifanyika nchini Misri. Kwa sasa Tanzania imeamua kuwekeza katika timu ya taifa ili kusonga mbele Zaidi na Zaidi, katika hatua ya kufuzu fainali za AFCO, Tanzania ilifanikiwa kuifunga Burkina Faso mara mbili, katika mechi ya kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya Cameroon, Tanzania ilishinda 1–0. Ushindi wao wa siku za karibuni ni dhidi ya timu ya taifa ya Afrika kusini kweny mashindano ya COSAFA ya 2017 katika hatua ya robo fainali lakini hawakuvuka hatua inayofuata babada ya kupoteza dhidi ya timu ya taifa ya Zambia kwa jumla ya magoli 2−4. Katika mtanange wa kutafuta mshindi wa tatu, Tanzania ilishinda mchezo huo kwa mikwaju ya penati 4-2 dhidi ya timu ya taifa ya Lesotho. Ushindi huo unakua ndio ushindi mkubwa Zaidi wa timu ya taifa ya Tanzania katika historia yake.

Mataji

CECAFA Cup :

Rekodi ya Ushindani

Rekodi ya kombe la dunia

FIFA World Cup record FIFA World Cup Qualification record
Mwaka Hatua Nafasi Pld W D* L GF GA Pld W D L GF GA
  1930 to   1970 Haikushiriki Haikushiriki
  1974 Haikufuzu 3 0 2 1 1 4
  1978 Ilijitoa Ilijitoa
  1982 Haikufuzu 4 1 1 2 7 6
  1986 2 0 2 0 1 1
  1990 Haikushiriki Haikushiriki
  1994 Ilijitoa hatua ya kufuzu Ilijitoa hatua ya kufuzu
  1998 Haikufuzu 2 0 1 1 1 2
    2002 2 0 0 2 2 4
  2006 2 0 1 1 0 3
  2010 6 2 2 2 9 6
  2014 8 3 0 5 10 14
  2018 4 1 1 2 4 10
  2022 ya kuamuliwa ya kuamuliwa
      2026 ya kuamuliwa ya kuamuliwa
Jumla 0/21 33 7 10 16 35 50

Rekodi ya AFCON

Africa Cup of Nations
Appearances: 2
Mwaka Hatua Nafasi Pld W D L GF GA
  1957 Haina ushirika wa CAF
  1959
  1962
  1963
  1965
  1968 ilijitoa hatua ya kufuzu
  1970 Haikuifuzu
  1972
  1974
  1976
  1978
  1980 Hatua ya makundi 7th 3 0 1 2 3 6
  1982 Ilijitoa
  1984 Haikufuzu
  1986 ilijitoa hatua ya kufuzu
  1988 haikufuzu
  1990
  1992
  1994 ilijitoa hatua ya kufuzu
  1996 haikufuzu
  1998
    2000
  2002
  2004 ilijitoa hatua ya kufuzu
  2006 haikufuzu
  2008
  2010
    2012
  2013
  2015
  2017
  2019 Hatua ya makundi 24th 3 0 0 3 2 8
  2021 ya kuamuliwa
  2023
  2025
Jumla Hatua ya makundi 2/32 6 0 1 5 5 14

Rekodi ya mataifa ya Afrika

African Nations Championship
Kushiriki: 1
Mwaka Hatua Nafasi Pld W D* L GF GA
  2009 Group stage 5th 3 1 1 1 2 2
  2011 Did not qualify
  2014
  2016
  2018
  2020 ’’ya kuamuliwa’'
  2022
Jumla Hatua ya makundi 1/5 3 1 1 1 2 2

Michezo ya Afrika

Mpira wa miguu wa mashindano ya African Games imekua ikichezwa na walio na umri chini ya miaka 23 tangu mwaka 1991.
African Games Rekodi
Mwaka Matokeo GP W D L GS GA
  1965 - 0 0 0 0 0 0
  1973 - 0 0 0 0 0 0
  1978 - 0 0 0 0 0 0
  1987 - 0 0 0 0 0 0
1991–mpaka sasa See Tanzania national under-23 football team
Jumla 4/4 0 0 0 0 0 0

Matokeo ya hivi karibuni na ratiba

      Ushindi       Suluhu       Kupoteza

2018

Kigezo:Footballbox collapsible Kigezo:Footballbox collapsible Kigezo:Footballbox collapsible Kigezo:Footballbox collapsible

2019

Kigezo:Footballbox collapsible Kigezo:Footballbox collapsible {{footballbox collapsible |round = [[Kirafiki] |date = 16 Juni 2019 |time = 20:00 CAT |team1 = Tanzania   |score = 1–1 |report = https://int.soccerway.com/matches/2019/06/16/world/friendlies/tanzania/zimbabwe/3028720/ |team2 =   Zimbabwe |goals1 = |goals2 = |stadium = El Sekka El Hadid Stadium |location = Cairo, Misri |attendance = |referee = |result = D }} Kigezo:Football box collapsible Kigezo:Football box collapsible Kigezo:Footballbox collapsible

Wachezaji

Kikosi cha sasa

Wachezaji wafuatao walikua miongoni wa waliounda kikosi kilichocheza dhidi ya Burundi katika michuano ya kufuzu kushiriki fainali za kombe la dunia.

Ushiriki katika michozo ya kimataifa na magoli yamewekwa ya mpaka tarehe 4 Septemba 2019 baada ya mchezo dhidi ya timu ya taifa ya Burundi.

0#0 Pos. Player Date of Birth (Age) Caps Goals Club
1 GK Juma Kaseja 20 Aprili 1985 (1985-04-20) (umri 38) 62 0   KMC
13 GK Metacha Mnata 25 Novemba 1998 (1998-11-25) (umri 25) 0 0   Mbao
18 GK Beno Kakolanya 0 0   Simba

Kigezo:Nat fs break

2 DF Gadiel Kamagi 12 Septemba 1996 (1996-09-12) (umri 27) 24 0   Simba
3 DF Haruna Shamte 27 Desemba 1988 (1988-12-27) (umri 35) 3 0   Lipuli
4 DF Erasto Nyoni 7 Mei 1988 (1988-05-07) (umri 35) 88 5   Simba
5 DF Kelvin Yondan 9 Oktoba 1984 (1984-10-09) (umri 39) 82 0   Young African
6 DF Iddy Moby 0 0   Polisi Tanzania
15 DF Mohamed Husseini 11 Januari 1995 (1995-01-11) (umri 29) 12 0   Simba
22 DF Hassan Kessy 25 Desemba 1994 (1994-12-25) (umri 29) 8 0   Nkana
23 DF Iddy Nado 1 0   Azam

Kigezo:Nat fs break

7 MF Himid Mao Mkami 15 Novemba 1992 (1992-11-15) (umri 31) 51 2   ENPPI
8 MF Salum Abubakar 21 Februari 1989 (1989-02-21) (umri 35) 36 0   Azam
14 MF Mohamed Issa 0 0   Young Africans
16 MF Frank Domayo 16 Februari 1993 (1993-02-16) (umri 31) 39 0   Azam
17 MF Faridi Mussa 21 Juni 1995 (1995-06-21) (umri 28) 21 0   Tenerife B
19 MF Eleuter Mpepo 0 0   Buildcon
20 MF Jonas Mkude 3 Desemba 1991 (1991-12-03) (umri 32) 20 0   Simba
21 MF Ally Hamis Ng'anzi 3 Septemba 2000 (2000-09-03) (umri 23) 0 0   Forward Madison

Kigezo:Nat fs break

9 FW Abdillahie Yussuf 3 Oktoba 1992 (1992-10-03) (umri 31) 0 0   Blackpool
10 FW Mbwana Samatta 7 Januari 1992 (1992-01-07) (umri 32) 50 17   Genk
11 FW Hassan Dilunga 19 Oktoba 1993 (1993-10-19) (umri 30) 8 0   Simba
12 FW Simon Msuva 2 Oktoba 1993 (1993-10-02) (umri 30) 55 11   Difaâ El Jadidi


Makocha

Marejeo

Viungo vya nje