Taylor Swift

Mwimbaji-mtunzi wa nyimbo wa Marekani (aliyezaliwa 1989)


Taylor Alison Swift (amezaliwa 13 Desemba 1989) ni mwimbaji na mtunzi wa muziki wa country-pop nchini Marekani. Alitoa kibao chake cha kwanza, "Tim McGraw", mnamo 2006 akiwa na umri wa miaka 16.

Taylor Swift
Taylor Swift akitumbuiza katika café.
Taylor Swift akitumbuiza katika café.
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Taylor Alison Swift
Amezaliwa Desemba 13 1989 (1989-12-13) (umri 34)
Aina ya muziki Country pop
Kazi yake Mwimbaji-mtunzi wa nyimbo
Ala Gitaa, piano
Miaka ya kazi 2006 – Mpaka sasa
Studio
  • Republic
  • Big Machine
Ame/Wameshirikiana na Miranda Lambert, Kellie Pickler, Danielle Peck, Brad Paisley
Tovuti Tovuti Rasmi ya Taylor Swift

Ameshinda tuzo ya CMT kama “Video Bora ya Mwaka" mnamo 2007 kwa ajili ya wimbo wake wa "Tim McGraw". Pia alishindanishwa kwenye tuzo za Academy of Country Music kama "Mwimbaji Chipukizi wa Kike".

Diskografia hariri

Albamu za Studio hariri

Mwaka Albamu US Country US CAN Country CAN
2006 Taylor Swift 1 5 1 14
2008 Fearless 1 1 1 1
2010 Speak Now 1 1 1
2012 Red 1 1 1
2014 1989 1 1
2017 Reputation 1 1
2019 Lover 1 1
2020 Folklore 1 1
2020 Evermore 1 1
2022 Midnights
2024 The Tortured Poets Department

Single zake hariri

Mwaka Wimbo US Country US Hot 100 US Pop 100 US AC Albamu
2006 "Tim McGraw" 6 40 43 Taylor Swift
2007 "Teardrops on My Guitar" 2 33 42 5
"Our Song" 10 39 58
2008 "Picture to Burn" 3 28 49
"Should've Said No" 1 33 61
"Love Story" 1 4 3 2 Fearless
"White Horse" 1 13 23

Tuzo hariri

Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Taylor Swift kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.