Teddy Louise Kasela-Bantu

Teddy Louise Kasela-Bantu (amezaliwa 8 Juni, 1950) ni mbunge wa jimbo la Bukene katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. "Mengi kuhusu Teddy Louise Kasela-Bantu". 25 Aprili 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-19. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.