Teodoto, Tekusa na wenzao

Teodoto, Tekusa na wenzao Aleksandra, Klaudia, Faina, Eufrasia, Matrona na Julita (walifia dini Ankara, leo nchini Uturuki, 303 hivi) walikuwa Wakristo waliouawa kwa ajili ya imani yao wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano wa Dola la Roma[1][2].

Mt. Teodoto wa Ankara.

Kuna historia ya mateso yao[3]. Humo tunasoma kwamba Teodoto alikuwa na biashara na kuimarisha waumini wenzake. Hao wanawake saba walikuwa mabikira; walipokamatwa walilazimishwa na gavana kuhamia danguro na hatimaye walizamishwa matopeni wamefungiwa mawe shingoni.

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 18 Mei[4][5].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/92508
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/46100
  3. According to the Acts (Acta Sanctorum, May, IV, 147), Theodotus was a married man who kept an inn at Ancyra (now Ankara), the capital of the Roman province of Galatia. He is described as a man very zealous in the performance of his Christian duties, endowed with many virtues, especially charity towards his neighbour, bringing sinners to repentance and strengthening many in their faith during the persecution which the Roman governor Theoctenus was carrying on in the province, about 303, in accordance with the imperial edict of Diocletian. The name of a certain Victor is mentioned as one who grew weak in his profession of Christianity and received much encouragement from Theodotus. Theoctenus ordered that all provisions exposed for sale should first be offered to the idols. Theodotus laid in stores of goods, and his house became a refuge for the Christians, a hospital for the sick, and a place for Christian worship. At Malos, about five miles from Ancyra, he sought out the body of the martyr, Valens, and gave it a Christian burial. Returning to Ancyra, he found the Christians in great trouble. The seven virgins mentioned above had been called before the judges and made a valiant profession of their faith; they were then sent to a house of debauchery, but preserved their purity. Then they were obliged to suffer cruel torments, and were cast into the sea with stones attached to their bodies.
  4. Martyrologium Romanum
  5. Ὁ Ἅγιος Θεόδοτος ὁ Μάρτυρας. 18 Μαΐου. ΜΕΓΑΣ ΣΥΝΑΞΑΡΙΣΤΗΣ, http://www.boston-catholic-journal.com/roman-martrylogy-in-english/roman-martyrology-may-in-english.htm#May_18th

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.