Thelathini na saba

Thelathini na saba ni namba inayoandikwa 37 kwa tarakimu za kawaida na XXXVII kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 36 na kutangulia 38.

37 ni namba tasa.

Matumizi hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Thelathini na saba kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.