Theodori wa Aleksandria

Theodori wa Aleksandria (alifariki 609 hivi) alikuwa Patriarki wa Kiorthodoksi wa mji huo wa Misri tangu mwaka 607.

Kifodini chake.

Aliuawa kwa kukatwa kichwa kwa ajili ya imani yake.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Desemba[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  • "Theodoros I (608–610)". Official web site of the Greek Orthodox Patriarchate of Alexandria and All Africa. Iliwekwa mnamo 2011-02-07. 
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.