Theofilo wa Aleksandria

Theofilo wa Aleksandria (alifariki 15 Oktoba 412) kuanzia mwaka 384 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa Aleksandria (Misri) na Papa wa 23 wa Kanisa la Wakopti ambalo linamheshimu kama mtakatifu.

Alivyochorwa katika mafunjo.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.

Maandishi yaliyotufikia hariri

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.