Theresia Chen Jinxie

Theresia Chen Jinxie (Feng, 1875 hivi - Cao, 5 Julai 1900) alikuwa msichana wa China aliyeuawa kwa mikuki pamoja na mdogo wake Roza Chen Aixie ili kulinda ubikira na kupinga ukatili wa Uasi wa Mabondia[1].

Wafiadini Wakatoliki wa China.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai, lakini ya kwake mwenyewe ni tarehe ya kifodini chake[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.