Thiago Alcantara ni mcheza soka wa Liverpool na ni raia wa Hispania.

Thiago akiichezea Timu yake ya Taifa ya Hispania mwaka 2019

Mchezaji huyu hucheza nafasi ya kiungo mshambuliaji au kiungo, mkabaji au mara chache hucheza kama beki wa kushoto na huvaa jezi namba 6 mgongoni.

Mchezaji huyu amewahi kuchezea timu kama: Barcelona, Bayern Munich.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Thiago Alcantara kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.