Thumbelina (filamu ya 1994)

(Elekezwa kutoka Thumbelina (1994 film))

Thumbelina (inajulikana pia kama Hans Christian Andersen's Thumbelina) ni filamu ya katuni-muziki ya mwaka 1994 kutoka Marekani.[1][2] Nyota wa filamu hii waliotia sauti zao ni pamoja na Jodi Benson, Gary Imhoff na John Hurt.[3]

Calineczka_VP
Thumbelina
Imeongozwa na
Imetayarishwa na
Imetungwa na Don Bluth
Nyota
Muziki na
Imehaririwa na Fiona Trayler
Imesambazwa na Warner Bros.
Imetolewa tar. 30 Machi 1994
Ina muda wa dk. Dk. 86
Nchi Marekani
Lugha Kiingereza
Bajeti ya filamu $28 million
Mapato yote ya filamu $11.3 million

Marejeo hariri

  1. "(Movie listings)", The Capital Times, 29 Machi 1994, p. 3D. "Thumbelina – starts tomorrow [March 30]" 
  2. "(movie listings)", The Los Angeles Times, 30 Machi 1994, p. F13oc. "(21 listings)" 
  3. Lenburg, Jeff (1999). The Encyclopedia of Animated Cartoons. Checkmark Books. p. 208. ISBN 0-8160-3831-7. Retrieved 6 Juni 2020.  Check date values in: |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Thumbelina (filamu ya 1994) kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.