Tijuana, Baja California


Tijuana ([tiˈxwana]) ni mji mkubwa wa Mexiko katika jimbo la Baja California. Ni mji mkubwa kuliko yote ya jimbo. Eneo lake ni 637 km². Kuna wakazi 1,286,187 (2005). Iko kusini kabisa ya mji wa San Diego.

Jiji la Tijuana
Nchi Mexiko
Jimbo Baja California
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 1,286,187
Tovuti:  www.tijuana.gob.mx
Mji wa Tijuana, Baja California

Mji uliundwa mwaka 1889.

Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tijuana, Baja California kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.