Tikhon of Zadonsk (jina la awali: Тимофей Савельевич Соколов, Timofey Savelyevich Sokolov; Korotsko, 1724Zadonsk, 1783) alikuwa mmonaki, askofu na mwandishi wa maisha ya kiroho kutoka Urusi.

Mt. Tikhon wa Zadonsk alivyochorwa katika karne ya 18.

Mwaka 1861 Kanisa la Kiorthodoksi la Urusi lilimtangaza mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 13 Agosti na tarehe 14 Mei.

Maisha yake yalitumiwa na Fyodor Dostoyevski kuandika juu ya wahusika askofu Tikhon katika kitabu chake Mashetani[1] tena Alyosha Karamazov na mzee Zosima katika kitabu Ndugu Karamazov.[2]

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Frank, Joseph (2010). Dostoevsky A Writer in His Time. New Jersey: Princeton University Press. uk. 606. ISBN 978-0-691-12819-1. 
  2. See N. Gorodetsky, Saint Tikhon of Zadonsk: Inspirer of Dostoyevsky (1951)

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.