Timu ya taifa (kwa Kiingereza: national sports team, national team au national side) ni kundi la wachezaji wanaowakilisha taifa lao, si klabu wala eneo fulani, katika michezo ya kimataifa.

Timu ya taifa ya Hispania mwaka 1928

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Timu ya taifa kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.