Toamasina ni mji mkuu wa Atsinanana nchini Madagaska. Idadi ya wakazi wake ni takriban 179,045.

Toamasina
Toamasina is located in Madagaska
Toamasina
Toamasina

Mahali pa mji wa Toamasina katika Madagaska

Majiranukta: 18°09′0″S 49°25′0″E / 18.15000°S 49.41667°E / -18.15000; 49.41667
Nchi Madagaska
Mkoa Atsinanana
Wilaya Toamasina
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 179,045
Bandari ya Toamasina

Tazama pia hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Madagaska bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Toamasina kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.