Tomáš Kalas (alizaliwa 15 Mei 1993) ni mchezaji wa Ucheki ambaye anacheza kama beki au kiungo mkabaji wa klabu ya Bristol City, kwa mkopo kutoka katika klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza ya Chelsea FC.

Tomáš Kalas

kazi ya klabu hariri

Alianza kazi yake katika klabu ya Sigma Olomouc, alijiunga na Chelsea kwa mkopo wa milioni 5.2 mwaka 2010.Mkopo ulipoisha na kurudi katika klabu yake ya kwanza Sigma, kisha kwenda katika klabu ya Vitesse Arnhem,FC Köln, Middlesbrough na Fulham.

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tomáš Kalas kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.