Tsu, Mie

Japani, mji mkuu wa Jimbo la Mie

Tsu (津市) ndiyo mji mkuu katika mkoa wa Mie. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 290 000 wanaoishi katika mji huu.

Mji wa Tsu








Tsu
Faili:Flag of .png
Bendera
Nchi Japani
Kanda Kansai
Mkoa Mie
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 287 902
Tovuti:  www.city.tsu.mie.jp
Makala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tsu, Mie kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.