Tunis (kwa Kiarabu: تونس ) ni mji mkuu wa Tunisia na mji mkubwa nchini ikiwa na wakazi 602,560 (mwaka 2022) ambao pamoja na wakazi wa mitaa ya nje wanafikia jumla ya milioni 2.7.

Jiji la Tunis
Nchi Tunisia
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 602,560
Place de la Victoire (Uwanja wa ushindi) mjini Tunis
Picha ya Tunis kutoka angani

Mji uko ufukoni mwa Mediteranea, karibu na Karthago ya Kale.

Mji wa kale (Medina ya Tunis) umeorodheshwa na UNESCO kama Urithi wa Dunia.

Tazama pia hariri

Mandhari ya Tunis usiku

Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tunis kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.