UNCTAD au United Nations Conference on Trade Development (far. Conférence des Nations unies sur le commerce et le développement, CNUCED) ni taasisi ya Umoja wa Mataifa inayolenga kupunza vizuizi vya biashara ya kimataifa hasa baina nchi za viwanda na nchi zinazoendelea.

Makao makuu ya UNCTAD,Geneva

Makao makuu yako mjini Geneva (Uswisi). Mkutano mkuu hufanywa kila baada ya miaka 4.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu "UNCTAD" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.