Ufalme wa Bourgogne

Ufalme wa Bourgogne lilikuwa jina ambalo lilitolewa kwa mataifa mbalimbali ya Ulaya Magharibi wakati wa Zama za Kati.

Hii ni ramani ya Bourgogne

Bourgogne ya kihistoria inahusiana na eneo la mpakani kati ya Ufaransa, Italia na Uswisi na inajumuisha miji mikubwa ya kisasa ya Geneva na Lyon.

Kama taasisi ya kisiasa, Bourgogne ilikuwepo katika aina kadhaa na mipaka tofauti, hasa wakati imegawanywa katika Bourgogne ya Juu na ya chini na Provence.

Iliitwa Ufalme wa Bourgogne, wakati mwingine Ufalme wa Provence, Duchy wa Bourgogne na Wilaya ya Bourgogne.

Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ufalme wa Bourgogne kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.