Uislamu nchini Afghanistan

Uislamu kwa nchi

Uislamu nchini Afghanistan ulianza baada ya Waarabu wa Kiislamu kutwaa Afghanistan kuanzia karne ya 7 hadi ya 10, na wale waliosalia wakaja kusilimu rasmi mwishoni mwa karne ya 19.

Msikiti uliojengwa wakati wa zama za Nasaba ya Ghurid katika karne ya 12, maarufu kama Msikiti wa Ijumaa wa Herat. Huu ni moja kati ya misikiti ya kale sana nchini Afghanistan.

Leo hii, Uislamu ni dini rasmi ya taifa la Afghanistan, kukiwa na kadirio la asilimia 99.8 ya idadi ya wakazi wote kuwa Waislamu. Kwenye asilimia 80-90 ni wafuasi wa dhehebu la Sunni, wanaofuata mafundisho ya Hanafi, wakati asilimia 7-20 wanaaminika kuwa wa Shia.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri