Uislamu nchini Gambia
Uislamu ni dini yenye wafuasi wengi nchini Gambia, ikiwa na asilimia 95.3 za idadi ya wakazi wote wa nchi hiyo.[1] Sehemu kubwa ya Waislamu wa Gambia ni wa dhehebu la Sunni wanaofuata mwongozo wa Maliki, wenye athira pia ya Usufi. Vilevile kuna nyendo za Wahmadiyya.[2]
Uislamu kwa nchi |
Uislamu nchini humo unasifika kwa kushirikiana na makundi mengine ya dini. Baadhi ya makundi hayo ni pamoja na Kanisa Katoliki, Uprotestanti na Dini asilia za Kiafrika.
Tazama pia hariri
Marejeo hariri
- ↑ http://features.pewforum.org/muslim-population/
- ↑ "Association of Religious Data Archives". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-06-10. Iliwekwa mnamo May 31, 2014. Check date values in:
|accessdate=
(help)
Makala kuhusu Uislamu kwa nchi bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |