Uislamu nchini Ivory Coast

Waislamu wamo kwenye asilimia 38.6 ya idadi yote ya wakazi wa nchini Ivory Coast.[1] In Ivory Coast, Waslamu wanasali, wanafunga, na kutoa sadaka kama inavyohitajika na mafunzo ya Kiislamu, na walio wengi huenda hija na imefanywa kama kiada. Waislamu walio wengi wa Kiivoiri ni dhehebu la Sunni, wanaofuata mafundisho ya Imam Maliki.[2][3][4]

Msikiti wa taifa mjini Marcory.
Uislamu kwa nchi

Picha hariri

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-08-31. Iliwekwa mnamo 2015-07-05. 
  2. Noble Timothy Myers. The Huevolution of Sacred Muur Science Past and Present. uk. 72. Iliwekwa mnamo May 31, 2014.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. Dissertation Abstracts International: The humanities and social sciences. Iliwekwa mnamo May 31, 2014.  Check date values in: |accessdate= (help)
  4. Richard Brent Turner. Islam in the African-American Experience. uk. 130. Iliwekwa mnamo May 31, 2014.  Check date values in: |accessdate= (help)