Uislamu nchini Libya

Uislamu kwa nchi

Uislamu nchini Libya ndio dini inayongoza kwa wingi wa wafuasi.

Msikiti wa Mawlai Muhammad mjini Tripoli.

Sehemu kubwa ya waumini wa Libya ni wale wanaofuata dhehebu la Sunni, ambapo hutoa mafunzo ya kidini na mwongozo wa sera za utawala wa nchi na serikali kwa ujumla. Ni vigumu kubagusha dhana hii kwani hata kwa wale ambao hawakuamini Uislamu kikamilifu nao wamekuwa wafuasi wa utaratibu huu nchini humo.

Libya, wameweka vipaumbele juu ya thamani ya Uislamu na mafunzo yake, yaani, kuanzia utamaduni, mafunzo ya Qurani kwa kiwango cha juu mno, kiasi kwamba nchi hufuata miongozo ya sharia za Kiislamu.

Libya ina sehemu ndogo sana ya wafuasi wa Ahmadiyya na Shia hasa inahusisha wahamiaji kutoka Pakistani, kupitia majimbo yasiyojulikana nchini nzima.[1]

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. "Pakistani Ahmedis Held", January 16, 2013. Retrieved on May 31, 2014. 

Viungo vya Nje hariri