Uislamu nchini Nigeria

Uislamu nchini Nigeria una idadi kubwa ya waumini kuliko nchi yoyote ile katika Afrika Magharibi. Utafiti wa kituo cha Pew Research Center unakadiria kuwa upo kati ya asilimia 48.5 (2010)[1] na 50.4% (2009).[2][3] Kina CIA wanakadiria kuwa asilimia 50[4] wakati BBC wanakadiria kati ya asilimia 50 (2007).[5]

Msikiti wa Taifa wa Abuja mjini Abuja, Nigeria.
Uislamu kwa nchi

Waislamu wa Nigeria ni wa dhehebu la Sunni wanaofuta mafundisho ya imamu Maliki, ambao pia hufuata utawala wa sheria ya Kiislamu, yaani, Sharia.

Historia hariri

Waislamu kwa jimbo nchini Nigeria hariri

Kanda Jimbo Idadi ya wakazi Waislamu % Idadi ya Waislamu jumla ya kikanda
Kanda ya Kaskazini 1- Sokoto 3,696,999 98.9 % 3,656,332 92,28 %
2- Zamfara 3,259,846 98.9  % 3,223,987
3- Jigawa 4,348,649 98 % 4,261,676
4- Kano 9,383,682 98 % 9,196,008
5- Yobe 2,321,591 94.8 % 2,200,868
6-Katsina 5,792,578 95 % 5,502,949
7- Borno 4,151,193 98 % 4,068,169
8- Kebbi 3,238,628 90 % 2,914,765
9- Bauchi 4,676,465 90 % 4,208,818
10- Gombe 2,353,879 80 % 1,883,103
11- Niger 3,950,249 80 % 3,160,199
12- Kaduna 6,066,562 80 % 4,853,249
Kanda ya kati 13-Adamawa 3,168,101 90% 2,851,291 80%
14-Taraba 2,300,736 55 % 1,265,405
15-Benu 4,219,244 2,8 % 118,139
16-Plateau 3,178,712 30% 953,613
17-Nassaraw 1,863,275 70% 1,304,292
18-Kogi 3,278,487 85% 2,786,714
19-Kwara 2,371,089 85% 2,015,425
20- Abuja 1,405,201 80% 1,124,161
Majimbo ya Magharibi 21-Oyo 5,591,589 70 % 3,914,112 49,94%
22- Ogun 3,728,098 65% 2,423,264
23- Osun 3,423,535 70% 2,396,474
24- Lagos 9,013,534 65 % 5,858,797
25- Ondo 3,441,024 30 % 1,032.307
26- Ekiti 2,384,212 30 % 715,263
27- Edo 3,218,332 30 % 965,499
28- Delta 4,098,391 3% 122,952
Majimbo ya Kusini 29-Anambra 4,182,032 3 % 125,461 2,417 %
30- Enugu 3,257,298 2 % 65,146
31- Cross River 2,888,966 3% 86,669
32- Ebonyi 2,173,501 1 % 21,735
33- Rivers 5,185,400 3 % 155,562
34- Abia 2,833,999 2 % 56,680
35- Akwa Ibom 3,920,208 0% 0
36- Bayelsa 1,703,358 8 % 136,269
37- Imo 3,934,899 2 % 79,698
total 140,003,542 56,931 % 79,705,051

Idadi ya Waislamu kwa asili ya makundi ya watu nchini Nigeria hariri

Hakuna makubaliano ya kutunga au kutunza taarifa za waumini wa dini nchini Nigeria. Hata hivyo, Joshua Project, jamii ya kichungaji ya Wainjilisti yenye kituo chake nchini Marekani maarufu kama World Mission, inatoa takwimu zake yenyewe juu ya wingi wa Waislamu kiasili nchini humo kama ifuatavyo:[6]

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. Mapping The Global Muslim Population (PDF). Jalada kutoka ya awali juu ya 2013-08-05. Iliwekwa mnamo 13 March 2012.
  2. Mapping the Global Muslim Population
  3. Global Christianity: A Report on the Size and Distribution of the World’s Christian Population (PDF). Iliwekwa mnamo 2011-12-29.
  4. CIA – The World Factbook – Nigeria. Jalada kutoka ya awali juu ya 2020-08-31. Iliwekwa mnamo 2016-06-23.
  5. BBC: "Nigeria: Facts and figures" April 7, 2007
  6. Joshua Project: "Nigeria" retrieved October 19, 2015

Viungo vya nje hariri