Uislamu nchini Seychelles

Uislamu katika Bahari ya India ulianzishwa na wafanyabiashara wabaharia hasa kabla ya Ulaya kugundua visiwa vya Seychelles.[1] Hata hivyo, iko tofauti kidogo na hali ya visiwa vingine ikiwa ni pamoja na Comoro na Maldives, kulikuwa hakuna wakazi wa kudumu huko Seychelles hadi hapo Wafaransa walipolowea mnamo 1770. Leo hii, idadi ya Waislamu nchini humo inakadiriwa kuwa ni asilimia 1 tu, yaani, ni kama watu 900 ambao wameripotiwa kuwa ni Waislamu nchini humo.[2]

Msikiti mjini Mahe
Uislamu kwa nchi

Marejeo hariri

  1. "Exploring Islam". www.nation.sc. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-07-05. Iliwekwa mnamo 2 March 2013.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "Seychelles Population". www.historycentral.com. Iliwekwa mnamo 2 March 2013.  Check date values in: |accessdate= (help)

Viungo vya Nje hariri