Ukanda wa kunjamano wa rasi

Ukanda wa kunjamano wa rasi (kwa Kiingereza: Cape Fold Belt) ni eneo la milima katika majimbo ya Rasi ya Magharibi na Rasi ya Mashariki nchini Afrika Kusini.

Ramani ya Rasi ya Magharibi inayoonyesha maeneo ya Ukanda wa kunjamano wa rasi. Huu ni sehemu uliopo chini ya mstari wa buluu ambao unadokeza mharara mkuu wa Afrika Kusini ulio tofauti na ukanda wa kunjamano. Ukanda huu unaenea hadi Port Elizabeth upande wa mashariki.

Eneo hili linafanywa na mfululizo wa milima kunjamano inayofunika sehemu kubwa za kusini-magharibi za Afrika Kusini.

Sehemu yake inayojulikana zaidi ni milima ya Drakensberg yenye miinuko hadi mita 3,482 juu ya usawa wa bahari.

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ukanda wa kunjamano wa rasi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.