Ukubwa (kwa Kiingereza: "size"[1]) ni hali ya mwonekano wa kitu au vitu ambapo huenda ikawa ni mwonekano wake katika umbo, urefu, upana, kipenyo, mzunguko, eneo, kiasi, au molekuli.

Ukubwa hupimwa kwa vifaa mbalimbali vikiwa ni pamoja na rula, mizani na vipimo vingine.

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya fizikia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ukubwa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.