Upelelezi (Jiografia)

Upelelezi ni tendo la kufanya ziara kwa nia ya kugundua au kujifunza kuhusu kitu au mahali. Kwa mfano, upelelezi wa anga-nje unafanywa kwa kutuma binadamu na roboti huko ili wakusanye habari zaidi kuhusu ulimwengu na mifumo ya sayari.

Upelelezi unaojulikana zaidi ni ule uliofanywa na Wazungu, enzi za upelelezi, kwa sababu tofauti. Walizuru Afrika, Amerika, Australia na mafunguvisiwa ya Pasifiki na Bahari Hindi.

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Upelelezi (Jiografia) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.