Utah Jazz

Timu ya mpira wa kikapu ya Marekani

Utah Jazz ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Salt Lake City, Utah. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Donovan Mitchell.

Utah Jazz na Houston Rockets mchezoni

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Utah Jazz kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.