Valeriani wa Aquileia

Valeriani wa Aquileia (alifariki Aquileia, leo nchini Italia, 388) alikuwa askofu mkuu wa mji huo kuanzia mwaka 369 hadi kifo chake akiurudisha kwenye imani sahihi dhidi ya Waario[1].

Mt. Valeriani alivyochorwa.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 27 Novemba[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • Pio Paschini, Le vicende politiche e religiose del territorio friulano da Costantino a Carlo Magno (secc. IV-VIII), Memorie storiche forogiuliesi, Vol. 8, 1912, pag. 51-64.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.