Van (Kiarmenia: Վան, Kikurdi: Wan; kutoka Kiarmenia van - kijiji, makazi[1]) ni mji ulipo mjini mashariki mwa nchi ya Uturuki. Huu ndiyo mji mkuu wa Mkoa wa Van, na upo upande wa mashariki mwa pwani ya Ziwa Van. Mji una idadi ya wakazi wapatao 284,464 (ilikuwa hiyo kwa mwaka wa 2005).[2]

Mji wa Van

Marejeo hariri

Viungo vya Nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Van kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.