Vinsenti wa Agen (alifariki Agen, Akwitania, leo nchini Ufaransa, 292 hivi) alikuwa shemasi aliyeuawa kwa ajili ya imani yake ya Kikristo kutokana na dhuluma ya kaisari Dioklesyano wakati Wapagani walipokuwa wakisherehekea sikukuu ya mungu Jua[1][2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakristo wa madhehebu mbalimbali kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 9 Juni[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  • Louis Saltet, Étude critique de la « Passio S. Vicentii Aginnensis », p.97-113, Revue de Gascogne, 1901 [1]
  • Chanoine A. Bert, Saint Vincent du Mas, p.|1-27, 66-99, 155-167, Revue de l'Agenais, 1924, tome 51 [2]
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.