Visiwa vya Andamani na Nikobari

Visiwa vya Andamani na Nikobari ni eneo la muungano wa jamhuri ya India.

Visiwa vya Andaman kutoka angani.
Ramani ya Andaman na Nicobar pamoja na ile ya mji mkuu, Port Blair.

Linaundwa na mafunguvisiwa ya Andamani na Nikobari kwenye Bahari ya Hindi, isipokuwa visiwa vichache vilivyo chini ya Myanmar.

Kwa jumla ni kilometa mraba 8,249. Wakazi ni 380,500 (2012). Lugha inayotumika zaidi ni Kibengali.

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu: