Visiwa vya Turks na Caicos
Visiwa vya Turks na Caicos ni funguvisiwa la Karibi ambalo ni eneo la ng'ambo la Uingereza. Visiwa hivyo viko karibu na Bahamas.
Visiwa vya Turks na Caicos |
---|
Visiwa vya Turks & Caicos hariri
Grand Turk hariri
Hiki ni kisiwa kikuu penye uwanja wa ndege na ofisi za serikali.
Providenciales hariri
Ni kisiwa cha utalii.
West Cay hariri
Kisiwa kidogo
Viungo vya nje hariri
Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Visiwa vya Turks na Caicos kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |