Vladimir Prelog (23 Julai 19067 Januari 1998) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uswisi. Hasa alichunguza mfumo wa pande tatu wa molekuli na atomu mbalimbali. Mwaka wa 1975, pamoja na John Cornforth alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Vladimir Prelog


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vladimir Prelog kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.