Vorarlberg
Vorarlberg ni moja ya majimbo 9 ya kujitawala ya Austria lenye wakazi 372,791 kwenye eneo la km² 2,601.
Mji mkuu ni Bregenz. Waziri mkuu ni Herbert Sausgruber (ÖVP).
Jiografia hariri
Picha za Vorarlberg hariri
Tovuti za Nje hariri
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Austria Chini (Niederösterreich) • Austria Juu (Oberösterreich) • Burgenland • Karinthia (Kärnten) • Salzburg • Steiermark • Tirol • Vienna (Wien) • Vorarlberg |
Makala hii kuhusu maeneo ya Austria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Vorarlberg kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |