Wafiadini wa Nikomedia

Wafiadini wa Nikomedia (walifariki 303) ni kundi kubwa la Wakristo wa Nikomedia, leo Izmit nchini Uturuki) ambao waliuawa wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian kwa sababu walikataa kuabudu miungu[1][2].

Mchoro mdogo katika Menologion of Basil II ukionyesha Wafiadini wa Nikomedia.

Walikuwa kati ya 1,000 na 20,000, wakiwemo watoto wao[3].

Wanaheshimiwa na Kanisa Katoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao inaadhimishwa kila mwaka tarehe 23 Juni[4] au 28 Desemba[5].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. 20,000 Martyrs of Nicomedia Retrieved on 3 Feb 2018
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/91326
  3. Michael J. Walsh (30 July 2007). A New Dictionary of Saints: East and West. Liturgical Press. uk. 401. ISBN 978-0-8146-3186-7. Iliwekwa mnamo 23 August 2012.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  4. Martyrologium Romanum
  5. "The 20,000 Holy Martyrs of Nicomedia". St. Nicholas Russian Orthodox Church. Iliwekwa mnamo 23 August 2012.  Check date values in: |accessdate= (help)

Marejeo hariri

Encyclopedia of Saints, Second Edition (2014). Publisher: Our Sunday Visitor; 2nd ed. edition (July 2, 2014), ISBN 1612787169

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.