Walinzi Waswisi wanaunda jeshi la Vatikani. Ni dogo sana (wanajeshi 100 hivi) lakini lenye historia ndefu kabisa duniani kwa kuwa kipo tangu mwaka 1506.

Walinzi Waswisi katika sare zao za kuvutia.

Wote ni lazima wawe Wakatoliki raia wa Uswisi kwa kuzaliwa.