Wallace Earl Stegner (18 Februari 190913 Aprili 1993) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1972, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake Angle of Repose ("Pembe ya Utulivu").

Wallace Stegner
Faili:Wallace Stegner.jpg
Amezaliwa Wallace Earle Stegner
8 Februari 1909
Iowa, Marekani
Amekufa 13 Aprili 1993
New Mexico, Marekani
Nchi Marekani
Kazi yake Mwandishi
Kipindi 1937–1993
Ndoa Mary Stuart Page (1911–2010)
Watoto Page Stegner
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wallace Stegner kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.