Walter Rudolf Hess

Walter Rudolf Hess (17 Machi 188112 Agosti 1973) alikuwa mwanafiziolojia kutoka nchi ya Uswisi. Hasa alichunguza neva za ubongo. Mwaka wa 1949, pamoja na Antonio Egas Moniz alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Walter Rudolf Hess


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Walter Rudolf Hess kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.